[emoji16][emoji16][emoji16]real life experience hizo tukiwa shule. Hiyo sio meme tu
Dharula hiyo,amechukua jezi ya mkewe fasta fasta,si unaona kavaa ndala 🤣[emoji856]View attachment 2390286
Hapo unaacha na ufunguo kabisa ila hakuna wa kuiba hiyo gari