Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji23][emoji23][emoji23]Msamehe mpwa harudii Tena
Mimi mzima kabisa sijui Wew huko uliko
Huku Misungwi tuko salama mpwa. Nishamsamehe ila kila nikisoma ile barua yako na jinsi anavyoendelea kujibebisha hasira zinanipanda.

Tunamalizia malizia maandalizi tunakuja rasmi mpwa. Daktari ndo atajua hajui
 
😂😂😂Nitamwambia akae Kwa utulivu watu wanatak kubeba jumla jumla nikapike michembe huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…