Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Siitaki hiyo shikamoo yako mimi. Unaniita mkuu? Babu yako kabisa? 😳😳😳[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo mengi mkuu tumevurugwa na bei za sembe huku kitaa paka kuamkia watu tunaona kama tutafulisika[emoji849][emoji849][emoji849] SHIKAMOO
Kweli maisha ni magumu. Na leo OPEC wametangaza kuwa wanapunguza uzalishaji wa mafuta kwa mapipa milioni 2 kwa siku ili ku-create demand. Muda si muda mafuta nayo yataanza kupanda tena. Hakuna rangi ambayo tutaacha kuona aisee...