whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,928
- 9,448
Duuh!
Kwa ubishi wa binadamu wa siku hizi, zinaisha hizo...Duuh!
Hapo kuna mtu ataelemewa soon๐
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acheni utani banaHuyu mtoto kama morrison
Maini ya akina Massawe na Mushi yana kazi wallahi ๐๐๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ
Mkuu ushindwe...Leo na kesho ushindweee!!! ๐๐๐One of the Old joke. Wasukuma wameenda stendi kutafuta usafiri wa Dar, wakala akawaambia โIpo Luck starโ jina la basi. Wasukuma kumbe wamesikia Laki sita, wakasema wao wana laki 3 Wakanyooshwaa
Hawa jamaa wezi. Mi sikubaligi! ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Aaa wapi. Ukishashusha mzigo ni majuto tu na kujilaumu ๐ฎ๐ฎ๐ฎHuo mzigo unamwaga ubongoooo
Kafumaniwa huyu...
Huyu boya atumie huu umaarufu wa muda kujipatia vijisenti na avitunze vizuri vinginevyo atakuja kuumia halafu asiwe na cho chote. Brain damage is no joke!
Kwa nini unajilaumu tena wakati umepata bonge la burudaniAaa wapi. Ukishashusha mzigo ni majuto tu na kujilaumu ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Vita ni vita mura! [emoji16][emoji16][emoji16]
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wote tuseme amen