Siku ya kwanza kuona hichi kituko nilicheka sana...Hii hatua sijui inaitwajee?
Utaishi maisha marefu sana. No siteresi 👏No stress
Japo nishastaafu lakini kujikumbusha mara moja moja siyo mbaya. Supa dupa yutongs ni addiction mbaya sana mjukuu ila nimeshaishinda 💪😁Eeeeeh umerudi tena![]()
Waifu anapiga masikini halafu haipokelewi. Likely ana wasiwasi na mumewe hajamsikia kitambo. Yaani!