Bila kumtimua Barbra wa Mudi mtafukuzana mpaka mtachoka [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ila matola mganga wake bado yuko vizuri sanaaa
Then alikuwa anamla
Unakuwa umepandishwa cheo na tayari kuna bae mpya π
Sijui kama anaonaga haya!
π€£π€£
Lini tumefungwa????Nyie hovyo kabisa mnafugwa hadi na timu ya djibuti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]