CV yako legend ni noma, kiasi kwamba hadi ile ya CAG ikasomeView attachment 1269492
Hii rahisi sana, i bet everyone can decode itView attachment 1269498
Kitabu namba moja mpaka nane juu kuna maandishi yameandikwa MENU kasoro kitabu namba 9 kwasababu maandishi yake yapo chini hivyo ili yasomeke MENU lazima hiyo namba 9 igeuke kuwa 6.Hapo nimetoka kapa