Yaani hadi carrot inakuzidi mwenye sector ya mahusiano🤣🤣🤣🤣
Huyu Jamaa siyo mzma ujue anakuja pm ananitumia ujinga ujinga tu hivi hamna sehem ya ku block mtuUnataka nirudie????
Au unataka mke mwenzangu??
Yaani kila mtu anamvamia tuHuyu Jamaa siyo mzma ujue anakuja pm ananitumia ujinga ujinga tu hivi hamna sehem ya ku block mtu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Huko pm nilicho mfanya Mungu anisamehe,Yaani kila mtu anamvamia tu
Pigs block
Unyonyaji tuHapo mtoto ametengenezewa barabara na miji inayoonekana gari zikipita.
Mbinu za kujinufaisha ni nyingi
Sema hapo corrot ipo na mtoto,,Yaani hadi carrot inakuzidi mwenye sector ya mahusiano![]()
Wee shauri yako utaishia kuwa single maza kweli kweli....mtoto una tako skonsi vidume tunataka kuoa unaringa....tutaona mwisho wakoSema hapo corrot ipo na mtoto,,
Unataka niwe singo maza unisimange??
banaWee shauri yako utaishia kuwa single maza kweli kweli....mtoto una tako skonsi vidume tunataka kuoa unaringa....tutaona mwisho wako

olewa wewe wacha kufaidhs godoro tuu na hilo tako skonsibana
Sasa mzab unaniombea nipate mume bora,acha wivu.
olewa wewe wacha kufaidhs godoro tuu na hilo tako skonsi
