Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji848]
20220725_110941.jpg
 
una kazi tu ya kuja kusumbua pm fanya yako we dada, narudia tena fanya yako we dada. Bichwa tikitiki ni la kwangu hata useme nini litabaki kuwa langu tu na sio lako. Mzima wa afya wewe
Hunijui,sikujui na sina haja ya kukujua naona unafosi kutaka kunijua,

,naomba ujiheshimu eeeeh,usinitie nuksi,koma koma koma,

Hii ni reply yangu ya mwisho kwako,huwaga sina mazoea na vichaa wenye ugonjwa wa stress

Endelea kujifaragua khadija,uwanja wako.
 
Hakuna kitu nilikuwa sipendi mie kama kuoga, nilikuwa sipendi kuoga balaa

Ndio maana nimeogeshwa hadi std 7.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm mpka Leo sipend kuoga tunagombanaga na x wangu mm namwambia mm siogi kama hutak tuachane

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Hunijui,sikujui na sina haja ya kukujua naona unafosi kutaka kunijua,

,naomba ujiheshimu eeeeh,usinitie nuksi,koma koma koma,

Hii ni reply yangu ya mwisho kwako,huwaga sina mazoea na vichaa wenye ugonjwa wa stress

Endelea kujifaragua khadija,uwanja wako.
🤔🤔🤔☹☹☹
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm mpka Leo sipend kuoga tunagombanaga na x wangu mm namwambia mm siogi kama hutak tuachane

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]wewe

Mwenyewe sipendi kuoga bhana,

mda wa kuoga mtaa mzima wanajua warda anaogesha sasa na migumi juu[emoji23]

Nakumbuka nimeogeshwa hadi nishaanza pd,
 
Back
Top Bottom