Vituko mitandaoni. Tupia chako

👍👍
 
Ushauri wa Kijinga sana, Yaani utafute hela halafu ujifiche, wakati Umasikini unajitangaza wazi na kukudhalilisha kila mahali Shetani anafurahia. Ukipata hela hataki Umtukuze Mungu anataka ujifiche
 
[emoji16][emoji16][emoji16] we fanya tu huo muamala chap kwa haraka...niko njiani naenda kukata tiketi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…