Vituko mitandaoni. Tupia chako

PICHA ya kuvutia ya mvulana wa Mundari. Kabila la
la Sudan Kusini ambapo watu hutumia mkojo wa ng'ombe kuosha nyuso zao na kupaka nywele zao. Wanatumia mkojo huo na majivu kutoka kwenye moto wa kinyesi unaopakwa kwenye ngozi ili kupambana na maambukizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…