Huyu sasa kwa issue ya kuchapwa wala hastahili tena kwa sababu ame-overqualify. Huwezi tena kumchapa. Unachotakiwa kufanya, ni kumwacha halafu siku inayofuata, wanainjika chakula kama hicho mahali hapo hapo halafu unamwita, kama anaelewa maneno unamwambia arudie tena kufanya kama alivyofanya jana, Akirudia unamfinya masikio mpaka yanawaka moto, na asipofanya vilevile unamfinya masikio mpaka yanawaka moto.hata jibu la jana anakuwa amelipata leo. Hawezi tena kurudia maisha yake yote. From my heart, mimi napenda sana watoto lakini wakinikorofisha, ni mkali nina uwezo wa kuchapa hata mtoto wa mtu mwingine mbele ya wazazi wake au ya hadhira watu wengine,....,huwa sijali!

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.