Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Siyo vizuri kwa kweli. Kwa vile wanataka publicity basi angalau wangekuwa wanapiga picha nje huko na kusema tu kuwa leo tumepeleka msaada kwenye taasisi hii basi. Lakini hii kumpiga picha mgonjwa akipewa sijui pedi kusema kweli siyo kabisa!Na mungu haiipendi hii, si kwa hatujui, tunajua saana, ila kwa kuwa tunaipenda zaidi dunia tunapuuzia, tunafanya matendo ambayo mungu katufundisha, ila hatupati kitu toka kwa mungu sababu ya utekelezaji.
Halafu huyo pembeni ni Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga anamlia timing tu. Binadamu!Adui wa Mwafrika ni Mwafrika mwenyewe View attachment 2285833
Hawatoi kwa sababu wana moyo wa kutoa, wanatoa ili waonekane wanatoa.Siyo vizuri kwa kweli. Kwa vile wanataka publicity basi angalau wangekuwa wanapiga picha nje huko na kusema tu kuwa leo tumepeleka msaada kwenye taasisi hii basi. Lakini hii kumpiga picha mgonjwa akipewa sijui pedi kusema kweli siyo kabisa!
Ile ni kazi ngumu sana![emoji16][emoji16][emoji16] nilikuwa sijui kama BTS ya prn ndo inakuwaga na watu nyomi hivo
Mbali wapi? 2015 ama? [emoji706][emoji706][emoji706]Nimekumbuka mbali[emoji23]View attachment 2285660
Tena ndo vinafumuka vishundu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji706]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unyama sana
Duuuuu!!!!? Imekuaje[emoji41][emoji41][emoji41][emoji16][emoji16]View attachment 2285561
Hivi Tz raia wanaweza thubutu kufanya hivi[emoji23][emoji23]Rais wa Srilanka ana swimming pool nzuri. Hivi na sisi pale Magogoni/Chamwino tuna swimming pool?
View attachment 2286205
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawaMbali wapi? 2015 ama? [emoji706][emoji706][emoji706]
Tusubir tu[emoji41][emoji41][emoji41]