Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ulikuwa umetoka kwenda kula na kujaribu kutumia meno kukata kipande cha nyama ngumu lakini kitoweo kiliishia kunyunyizia fulana nyeupe ya huyu jamaa aliyekaa mbele yako bila yeye kujua. Kuwa mkweli utafanya nini?
View attachment 2281806
Style iliyotumika kuingia mchuzi ndio style itakayotumika kumuacha hapo


Kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…