Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,621
Daah usingizi huu unanikosesha mengi mimi. Ningeshaambiwa kitu na ngosha sasa hiviMi maneno mengi tu mitandaoni humu Mkinga lakini siyo shabiki sana wa haya mambo. Niko very loyal nikiwa na mtu kamwe sichanganyi madesa. Niko zaidi kwenye kuinjoi maisha, upendo na urafiki.
Kati ya hao wanne kuna wengine tulidumu miaka mpaka mitano, wengine mpaka kukaribia ndoa lakini mambo hayakwenda...wengine wakanipa na katoto. Mimi nikikutamkia kuwa nakupenda ndo imetoka hiyo labda uje utibue mwenyewe tu...Tena ukiwa na tako uwiii! Siendi po pote ng'o!
Nije PM nikwambie kitu?![]()

Btw hongera kwa kuwa loyal




