Unaweza kuwa na nia nzuri tu, Wataka kuoa.......ila ukishakumbuka kuwa utalaumiwa kwa kufanya mema na utalaumiwa tena kwa kufanya mabaya!!
Unabeba Whiskey yako unaachana na mawazo ya ajabu "kuoa" !!😎
NB: Bandiko halinihusu!!
View attachment 2271573
Hayaa mi nimenyoosha mikono kuashiria nimesalimu amri umeshindaSisikii,iokote[emoji23]
Hahaa.. hivi mi naanzaje kujimanua kihasara ivyo?Ila wanawake bhanaView attachment 2271622
Ndio tatizo la kutowapelekea moto kisawasawaIla wanawake bhanaView attachment 2271622
Kwenye miti hakuna wajenzi [emoji1787]Ila wanawake bhanaView attachment 2271622
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila wanawake bhanaView attachment 2271622
🤣🤣Shida bin tabuView attachment 2268137
Duh...jirani!!!