Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_16560917338729294.jpg
 
"Atake Asitake Tutamlazimisha "Najutia kutoa kauli kama lile Coz sikuwa tayari kusema yale maneno ila Shemeji yake Yesu ndo alinishawishi nianze kusema yale maneno ila kwa kweli Najutia sana, Sikuweza kurudi kwenye nafasi yangu Coz nimepigwa chini Sasa hivi watu wamenipa Jina hilo la Atake Asitake Tutamlazimisha
FB_IMG_1656111728516.jpg
 
Back
Top Bottom