Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
🤣🤣🤣Ndio tabia zake sio?
🤣🤣🤣Ndio tabia zake sio?
Snaps ni utapeli jaman🤣🤣🤣🤣🤣 basi njoo unione live
Ila kwa snaps utajiju
Unasema matunzo

Na taarifa nilizopewa hivi punde ni kwamba mwaka huu kutakuwa na baridi kali sana....hivi wale warembo wasio na wapenzi mnashauriwa msidengulie ofa yoyote ile ya mwanaume kukutaka kingono
Tunaita tako skonsi....kuna mrembo mmoja maarufu jukwaa hili anayao😜
Namwambia 🤣🤣Tunaita tako skonsi....kuna mrembo mmoja maarufu jukwaa hili anayao😜