Huyo bibi akicharuka anapiga mikelele hiyo mpaka kuta zina bomokaHiyo bibi ni shigdah anapiga mkono afu ni mchaw
Alura bensonWale wazee Wa mamboView attachment 1242869
parapanda italiaImekaa vibaya by kali pView attachment 1242976
Kila mtu yupo kwenye siti yake, hicho unachokiona shingoni kwa mwanamke sio mkono wa mwanaume bali ni yale madude ya kuweka shingoni wakati wa kupumzika kwenye ndege.Angalia vizuri, uhalisia wake huwezi kuujua kwa harakaView attachment 1240427
Parapanda italiaaaa parapanda..!Imekaa vibaya by kali pView attachment 1242976
Jhope Ghwakumyitu...???Twambombo?
Sio kweli, nimeijaribu na jibu nililopata, dah! Sihitaji ban kwasasaGoogle samtaimu siyo yakuipa dhamanaView attachment 1241277