Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,563
Umeamua kucheza na kitunguu jirani na macho?
Uwe na kifua tu na mchozi use mbali.
Umeamua kucheza na kitunguu jirani na macho?
😃😃Tena lia sana View attachment 2239880
Lo ooh[emoji40]
[emoji23]Sometimes uliza dem yako favourite perfume yake, shoe size na vacation site. Si kila saa kumiss matiti kama Ndama[emoji23][emoji23]
Hatarious 🤣🤣🤣
Afufuke utanyea pipa mpaka bashite akuonee huruma.