Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Nyie viumbe ndio mnafanya hili taifa lizidi kiwa na mafisadi
Usiseme ur country sema kwa wanawake ng'ong'ozo.....ukiwa pisi kali hakuna mwanaume ataacha utangulie mbele....kale ka feeling ka watu kukuangalia ukiwa na pisi kali umemshika kiuno ni kama upo paradiso
[emoji17]
Hahahaha aisee,vile umewaomba mashoga zako pen hawana[emoji23] ,,,unasubiri wamalize kuandika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ticha anakukata jichoHahahaha aisee,vile umewaomba mashoga zako pen hawana[emoji23] ,,,unasubiri wamalize kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app