Na utafute pa kufikia[emoji35]Nimebakiwa na laki moja. Kesho nageuza kurudi home Misungwi nisije nikala mpaka nauli. Supa dupa yutongs zinakula hela kama mchwa!
View attachment 2231917
Na hunenepi [emoji15][emoji15][emoji15]Naweza ht nikamaliza mkate mzima [emoji13][emoji13][emoji13].