Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,867
- 19,646
Haaa haaaa 😁 eti mchanganyikoN jnsia gani hii 🙄🙄, au n mchanganyo🤔
Haaa haaaa 😁 eti mchanganyikoN jnsia gani hii 🙄🙄, au n mchanganyo🤔
Una viukorofi korofi fulani fulani vya chini chini basi tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji39]
Sociologist wangu unaniangushaga yaani mpaka basi tu [emoji16][emoji16][emoji16]Ila gender yenu ndio iloyoanzisha
Mbwa mwenye njaa mrushie fupa apambane nalo wakati ukila minofu. Tayari tumeshasahau mfumuko wa bei na punguzo la bei ya mafuta kwa tsh 30.