McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,128
- 12,638
Mahali: Temeke Dar es salaam
Muda: Saa 7
nafungua code baada ya kutoboa kabisa sufuria la Pilau
Mbona miguu yote ya kiume
Pamoja na kwamba ni vituko mitandaoni
Rais wa bahati mbaya.Dah!
Kazi kwao waandishi wa habari sasa. Kukunwa ama kuparuriwa. Maana yake wasifie sana na wakosoe kidogo tu...Nani kama mama?
View attachment 2209908
Ukiikuta ya kuchoma utajua sasa!?.Mass killing halafu zinaenda kuuzwa mitaani[emoji24]
... Be a Gentleman.[emoji154]I can sell one and still..[emoji23]
Hapo hamna haja ya kwenda 'kupunga Maji'.
Kwakweli. Wacha nitulie.
Hahahaha[emoji23]Sina uhakika kama baharia alipata hii kazi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2209936
WahuniKaribuni Eid El Fitr wapendwa, tupo hapa Buza kwa Lulenge.
Eid Mubarak.
#KamatiYaRohoMbayaView attachment 2210148