Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Maana yake wakija wapige hodi ukifungua wanasema shida yao unawapa hela, tv, nk halafu wanaondoka? Tukianza kufanya hivyo hakuna atakayeumizwa.
Aisee[emoji23][emoji23] au sio
Ngoja na mimi nikaandike jina la mtoto wa mama mkwe[emoji16][emoji16]
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo picha ya juu mbona kama anamfungua mkanda?? 🧐🤨
Ushindweee!Ngoja na mimi nikaandike jina la mtoto wa mama mkwe[emoji16][emoji16]
Wabongo sasa uwiii!Hiyo picha ya juu mbona kama anamfungua mkanda?? [emoji3166][emoji2955]
Babu usiniambie kuwa nawe unawaogopa???Unataka mi ndo nikawaulize?
Umechoka kuwa na babu ama? [emoji51][emoji51][emoji51]
Tag location nije nikukabe.Ndiyo,wakitakacho unawapa,,
Mie siku kibaka atake kisimu changu,nitamwambia tu haina shida naomba niitoe laini yangu,
Sent using Jamii Forums mobile app