Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,200
Umebadilika tena....wee sii ndio ulisema nisubirie utanipa mualiko
Ooooh. Kumbe!Umebadilika tena....wee sii ndio ulisema nisubirie utanipa mualiko
Ah mwenyewe sio mtu wa monde....biriabi naja nile nishibe nipata nguvu za kwenda kugegegda....wikend ndio hii yakuji enjoyOoooh. Kumbe!
Karibu kula biriani na soda,,,,,pombe Hanna[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na kugegeda,ni siku ya kukaa kupiga mastory tuAh mwenyewe sio mtu wa monde....biriabi naja nile nishibe nipata nguvu za kwenda kugegegda....wikend ndio hii yakuji enjoy