Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,918
- 136,634
Duh si kwa kuchoka hivo sijafikia huko hata kidogo😜😜financial services chamngamka mrembo usije kiwa hivi
Kweli kabisa macho matatu sio problem....wee njoo unipe utelezi
Wenzio pia wasema hivyo ila siku hazigandi mrembo.Duh si kwa kuchoka hivo sijafikia huko hata kidogo😜😜
Naona vyeo vya uheshimiwa vinashika kasi sana. Hata msemaji wa serikali naye ni mheshimiwa.