Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nchi nzito hii. Kwamba mtu anapanga kwenda kwenye ofisi ya DPP kuiba, tena 'computer' zote? Mkurugenzi wa mashtaka au DPP yupi? Ofisi ya DPP inalindwa na ulinzi mzito. Wanaingia na kuondoka vipi na desktop
? Kwanini waibe PC zenye taarifa za malipo ya fedha za ML? nilihoji hapa, kwanini mnapokea fedha hizo kwa mkono, tena na kupiga picha, mna violate regulations, Kumbe mpango ulikuwa huu!? MNATUTANIA!
 
Hii haina tofauti na sakata la kushambuliwa Lissu, askari wote eneo hilo hawakuona! Au waliondolewa lindo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…