Kazi iendelee ,or sio?
What happened
Kizaz cha nyoka
BabuNdiyo. Ni sherehe mtindo mmoja. I hope na sisi tutawajibu soon![]()


Aisee hii sasa balaa wanawake waache kubanianhizo mbususu zaoKama taifa tuna vijana wa hovyo saana. View attachment 2199231
Na hapa ndipo wenzetu wanapotupiga chenga. Halafu wakikaa huko na kugundua chanjo zao oooh wanataka kutuua. Si maombi yatuponye sasa? Kila mtaa sasa hivi nadhani una nabii na mtume wake sasa shida iko wapi?Masikini black people
Inahuzunisha sanaView attachment 2199317
Ngumi
Afrika hatujitambui,Kwanza hizi Dini zimeletwa na waoNa hapa ndipo wenzetu wanapotupiga chenga. Halafu wakikaa huko na kugundua chanjo zao oooh wanataka kutuua. Si maombi yatuponye sasa? Kila mtaa sasa hivi nadhani una nabii na mtume wake sasa shida iko wapi?