Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,198
Nilikuwaga naona tunanyanyaswa lkn walikuwa sahihi,,,sasa naonaMkaoge ndo mje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanakuwaga watam hawa[emoji39][emoji39][emoji39]acha kabisa
Wanawake wa namna hii ndio wanapendwa na wanaume
Nimekuwaza hapa sikuoni[emoji23],kumbe upo dawati la mwishoWanawake wa namna hii ndio wanapendwa na wanaume
Hahaha leo nipo back bencher huku tunapiga story. Kwema lakini huko ulipo?
Duh its my first time to see that word "bela".....Whats this by the way??
Daaah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwanzo, huoni anathaminisha kabla ya kutumia
Kwema kabisa,karibu kufuturuHahaha leo nipo back bencher huku tunapiga story. Kwema lakini huko ulipo?
So "Bela". Hela[emoji23]Duh its my first time to see that word "bela".....Whats this by the way??
Mie nipe uji mrembo
Mbwembwe tu hizo. Akimlegeza atakula mzigo [emoji16][emoji16][emoji16]