So tell us...inakuwaje nyie wanawake smart mnapenda sana playboys...alafu mnakuja kisettle na nerds kama sie🤣🤣🤣🤣Ni playboys walikua, no future.
Yaani mnatulisha makombo ya playboys kweli😭😭😭😭😭
So tell us...inakuwaje nyie wanawake smart mnapenda sana playboys...alafu mnakuja kisettle na nerds kama sie🤣🤣🤣🤣Ni playboys walikua, no future.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ilitokea tu hakuna mtu anapenda kuumizwa. Kudhibiti hisia ni ngumu mno rafiki, unampenda mtu unaona kabisa hapa nazingua lakini umo tu. Inataka sana nguvu kujitoa hukoSo tell us...inakuwaje nyie wanawake smart mnapenda sana playboys...alafu mnakuja kisettle na nerds kama sie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mnatulisha makombo ya playboys kweli[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana ...sasa inakuwaje ukanasa tena kwa playboy? Au maneno yao matamu sana mpaka mnashindwa kabisa kutumikisha akili zenu warembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ilitokea tu hakuna mtu anapenda kuumizwa. Kudhibiti hisia ni ngumu mno rafiki, unampenda mtu unaona kabisa hapa nazingua lakini umo tu. Inataka sana nguvu kujitoa huko
Hakuna maneno matamu wala nini niliwaelewa tu. Wa kwanza nilikutana nae wakati nipo shule hatukua na plans zozote ilikua kuhave fun tu tulipomaliza kila mmoja akala 50 zake. Maisha ya kitaa ndio nikakutana na mwingine huyu ndio nikahisi nimefika kabla sijaanza pigwa matukio na story yetu ikaishia hapo.Pole sana ...sasa inakuwaje ukanasa tena kwa playboy? Au maneno yao matamu sana mpaka mnashindwa kabisa kutumikisha akili zenu warembo
Tamaduni za kiafrika
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2194389
@Siafu na Manga dogo anaupiga mwingiTamaduni za kiafrika
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2194389