Ungangari na uchuma cha Mjerumani ulimwanzia wapi huyo mke? Ni nini kilitokea mpaka akaachana na haiba yeke njema iliyompambanua wakati wa ujana wake? Au tuwalaumu mabaharia waliomngangarisha? Naam! Maisha na mapenzi - mnyororo wenye pingili nyingi. Ua waridi lenye fumbo. Rosa Mistika!
We hiyo picha hujaelewa, hiyo sura sio kwamba kanuna analetewa vyombo.. Hiyo picha huyo dada anapigwa muchinga eneo la jikoni, tendo la kikubwa linaendelea hapo