Na safari yako ndo itaishia hapo hapo uwanja wa ndege....na utapelekwa ambako hukujui....Ukijibu yes inakuaje?View attachment 2177597
Mke wa Zakaria kwenye Rosa Mistika aliteseka sana kwa kuzaa watoto wa kike mfululizo!
Pa kukimbilia tulishaambiwa ni Burundi.Kaelekea nchi gani huyu mbwigaView attachment 2177415


