Hahahaha yaani hatari,nilikuwa nawaogesha madogo yaan nawapaka sabuni nawamwagia maji aisee utasikia vinasemelea kwa mama eti dada hajanisugua[emoji23]usiombe akuogeshe bro wako afu usha msemea kwa bi mkubwa kala kwa watu ha ha,atakukwangua na wavu akikuogesha mpaka ngoz inavimba
[emoji23][emoji23][emoji23]nimeona jibu babu[emoji41]Keshajibu. Nilitaka nikuite tuje tusubirie jibu [emoji16][emoji16][emoji16]