Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
Halafu ndude ina afya balaa!
Jinsia ya KE mtatufanya tufike mbinguni tumechoka sana!
biblia ina code mkuu,ngamia sio mnyama ila ni kamba nene inayotungwa kwenye nanga ya meli au boti kubwakapenya kwenye tundu la sindanoView attachment 2167088
Piga picha walimlipa nn🤣
Hiyo kamba kwa kiinglish ndio huitwa camel?biblia ina code mkuu,ngamia sio mnyama ila ni kamba nene inayotungwa kwenye nanga ya meli au boti kubwa
Hapo sasalHiyo kamba kwa kiinglish ndio huitwa camel?