Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Inahuzunisha sana, juzi tumekua na ugomvi na mwanangu mmoja, baada ya kutembelea bibi kijijini akagoma halali huko, muda wote akili zilikua zinawaza play station yake mjini, nilimngurumia hadi akalala huko.
hivyo yaani,,,,wanawaza hayo ma game na cartoon,,,,huko kijijini wanaona sehemu ya kishamba
 
img_2_1647720419497.jpg
 
Back
Top Bottom