Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20220315_215632.jpg
 
Ulikuwa tu una asili ya kutopenda ugali, mbona wengine tumekula hivyo ila hadi leo tunakung'uta kama kawa
Khatwe,kuna vitu nimekula shule kwa wingi tena kwa kulazimishwa nimevichukia ni pamoja na ugali siupendi kabisa,pia kuna chuo nilisoma tulikuwa tunalazimishwa kula ule mkate mdogo na blueband ndogo mwenyewe kila siku kwa miaka miwili na kulazimishwa kula robo kg ya karanga mbichi kila siku 2yrs.Hivo ugali,mkate,karanga mbichi toka niwe na maisha yangu nakula kwa shida sana
 
Yaaani nitoe buku kununua ugali bar/hotelini!!!Kamwe no!
Nikiwa ugenini sina namna kwani humpangii mwenyeji cha kukulisha kasoro nyama ya mtu but vingine tunagonga ukiwa mazingira ambayo si rafiki
 
Back
Top Bottom