Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,320
- 71,075
Hakuna uzi wala nini,nipo hapa hapa nawinda.
Vipi chungu lishapasuka?
Umeadimika, usituwinde sana lakiniHakuna uzi wala nini,nipo hapa hapa nawinda.
Kuwa makini mwanang
Nimekuja mtafuta Ankali wangu simuoni
Mjukuu za kupotea? Karibu tena aisee. Nilifikiri pengine maostaadh wameshafanya yao bila kutoa taarifa kwa babu. Nilikuwa na hasira hatari.
Ankali wako Moo naye kapotea ana wiki karibia tatu sasa. Ni mtu wa safari safari sana. Tumuombee awe salama huko aliko!Nimekuja mtafuta Ankali wangu simuoni


Za kupotea njema babu,si unajya msimu wa kulima huuMjukuu za kupotea? Karibu tena aisee. Nilifikiri pengine maostaadh wameshafanya yao bila kutoa taarifa kwa babu. Nilikuwa na hasira hatari.
Karibu sana. You were missed!
Ni kweli,atakuwa kazamia bariadi huko.Ankali wako @mougulf naye kapotea ana wiki karibia tatu sasa. Ni mtu wa safari safari sana. Tumuombee awe salama huko aliko!![]()
Niachie maagizo yake atayapata tuNimekuja mtafuta Ankali wangu simuoni
UwiiiihTatizo mapenzi hayafanyiwi service![]()
Wewe ni binamu au???