Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huyu mwanamke alijiita mungu na Watu wakamwamini, alikuwa na wafuasi wengi Sana alimaarufu kwa jina la washirika Kama walokole wengi wanavyoitanaga. Akiingia kanisani kwake Watu walianguka na mapepo ety mungu wa zamaledi kaingia. Jamani Afrika Kuna Wenda wazimu wengi. Wanapenda kuamini kila wanachoambiwa.ni sawa na wale wanaoamini kuwa yesu wa Nazareth atakuja Afrika, asia na ulaya yote. Sasa huyu mwanamke alikamatwa Jana na Dola sijui alisahau kuwaagiza malaika wake wamlinde!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…