Vituko mitandaoni. Tupia chako

nilikuwa naye mmoja mwenye kipini

"kama haya makumbe kumbeeh...mitaani nayaonaga(onaga)
niliwahi kuwa nalo moja, hivi ndivyo lilivyosemaga!(semaga)
Mpenzi ochu sikuachii,hata itokee nini
haki ya mungu sikuachii,hata itokee nini
Baba leo yuko wapi,limeingia mitinii...
HAYA NI MABUSU YA YUDA!, BABA!"

cc.Ochu Sheggy - Mabusu Ya Yuda

(Haina mahusiano yoyote na mimi)
 
Haina mahusiano yoyote na mimi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…