BlueIvy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 1,038
- 2,898
Sio kweli kabisaView attachment 2128530
Kuna watu wanajua kutishia wenzao, n vle tu iko nje ya uwezo wangu😌 lkn napenda kweli kunyoa na kuweka "mistar hvyo"
Sio kweli kabisaView attachment 2128530
Kuna nguruwe na bundi
Kama ni tawala za mikoa sema nizame PM sasa hivi tuongee kikubwa [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji28][emoji28][emoji28] daah nimesikitika sana.. nilikuwa sijui jibu kwa kweliTena leo ilikuwa mara tatu ya ile ya mwanzo + bakhshishi [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah nimecheka sanaTutafuteni hela jamani hakunaga cha dagaa wa nyama, dagaa ni dagaa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AnaogopeshaSo sad. Kizazi hiki kinataka kupita njia za mkato wakati maisha hayataki hivyo...
View attachment 2128806
Hahahaha[emoji23]Hawa ndo hufanya wanaume tushindwe kula ndizi kwa amani [emoji706][emoji38]
View attachment 2128809
Uuuuuuwiiiiiiiii[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Masela lazima wajue [emoji38][emoji38][emoji38]
View attachment 2128857