Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1645480130929.jpg
 
Enzi za 1990-2004' safari za machimboni,'manyoka' na madumu yao hapo...yaani kila mtu anachunga mzigo wake,ukijichanganya ukaibiwa huna wa kumwuuliza!!
Yaani ukisikia abiria chunga mzigo wako ndo hiyo!

Mwenye mtumba keshabwagwa kaambiwa mzito bei ndogo!!!

Kuna maisha flani ukiyakumbuka unabaki kutabasam tu peke yako kisha UNAMSHUKURU MUNGU!!!
Screenshot_20220222-065302.jpg
 
Mwaka 1979 baada ya vita ya Uganda kuisha Tanzania tulikuwa nahali mbaya ya chakula njaa ikaenea nchi nzima Mzee nyerere akaenda marekani kuomba msaada wakamwambia sisi huku maghala yamejaa chakula cha mifugo akauliza hiyo mifugo inakula nini akaambiwa mahindi basi akawaambia nipe tu akapewa mahindi yenye rangi ya njano na kijani, watu tulikula na kuipenda #Yanga yenye rangi lakini kwa sasa wale tuliopenda Yanga kwasababu ya njaa tunajuta!!!!!!!!
Screenshot_20220222-070106.jpg
 
Mwaka 1979 baada ya vita ya Uganda kuisha Tanzania tulikuwa nahali mbaya ya chakula njaa ikaenea nchi nzima Mzee nyerere akaenda marekani kuomba msaada wakamwambia sisi huku maghala yamejaa chakula cha mifugo akauliza hiyo mifugo inakula nini akaambiwa mahindi basi akawaambia nipe tu akapewa mahindi yenye rangi ya njano na kijani, watu tulikula na kuipenda #Yanga yenye rangi lakini kwa sasa wale tuliopenda Yanga kwasababu ya njaa tunajuta!!!!!!!!View attachment 2126820
Tatizo ni kuwa WEKUNDU wataamini huu uongo uliotengenezwa kwenye vijiwe vyao. Hakukuwa na njaa mwaka 1979. Na Unga wa njano uliitwa unga wa Yanga hata mwaka 1974.
 
Hapana ilikuwa ni wakati nchi iko vitani na kuna njaa kali ndio ukapata umaarufu mkubwa
Unachanganya facts. Vita imeisha mwezi wa nne1979. Ndio baada ya hapo Nyerere akatangaza miezi 18 ya hali ngumu ya uchumi (hapa tofautisha na kutangaza baa la njaa). Hujui kuwa tulikula unga wa yanga 1974?
Yanga nyingine tulikula 1984.

Anyway, unaweza ukaamini chochote ili ku-suit your Obsession on Yanga, lakini ukweli ndio huo.
 
Unachanganya facts. Vita imeisha mwezi wa nne1979. Ndio baada ya hapo Nyerere akatangaza miezi 18 ya hali ngumu ya uchumi (hapa tofautisha na kutangaza baa la njaa). Hujui kuwa tulikula unga wa yanga 1974?
Yanga nyingine tulikula 1984.

Anyway, unaweza ukaamini chochote ili ku-suit your Obsession on Yanga, lakini ukweli ndio huo.
OK OK sawa ni mada ya vituko mitandaoni. Vema tukaishia hapo
 
Back
Top Bottom