Mitume na manabii watakwambia hilo ni pepo na unahitaji kukanyaga mafuta!
Mapepo yanaogopa matajiri aisee. Wanakaa pale mbele kabisa lakini hawaanguki ila utakuta masikini yuko nyuma kabisa kule lakini chali. Ajabu sana!
Acheni mahakama itende kazi yake. Period!
This is vayolensi!
Chuma ya doshi!