nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,592
- 2,504
Mimba huwa inaonekana
Je mtia mimba utamjua vipi
Mimba huwa inaonekana
Najiuliza tu hiyo mikono ya tsheti ilipitaje kwenye hizo balls hapoNyie wakina dada hivi kwann mnapenda wanaume wenye sixpark na wenye vijuba kama huyo hapoView attachment 2120411
Bahati mbaya ni kwamba, mwanamke akifanya mapenzi na akabeba mimba inakuwa wazi kwamba kuna kidume amepita (pengine kichaa kakutana na kichaa) lakini mwanamke akibeba mimba haiwezi kudhihirika iwapo kapewa na chizi au timamu. Nilishawahi kusikia wanawake wakipeana michapo kuhusu kichaa fulni.
Pia mwanaume kubakwa sio habari ila mwanamke kubakwa ni habari.
As long as anapata mbususu sioni tatizo!


