Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji24][emoji24][emoji24][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2118072
Duh aisee imebidi niende niitafute hii habari, watu wanyama sana atakuwa amesukumwa na madawa huyu. Jamaa yake alikuwa anamshutumu kwa uzinzi.

Huyo binti ameolewa akiwa na miaka 12, na mpaka anafanyiwa huo unyama tayari alikuwa na mtoto wa miaka 3[emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…