Umenipata😀😀
IQ kubwa sana hapa inahitajikaView attachment 1228443
Bado hujaelewaHapo naona wanyama watatu
Kama sio panya basi
Maana kuona hao wanyama nimefunga jicho moja tu
Bado hujaelewa
Hapo maana yake ni hiiMkuu nasubiri jibu kama nimekosea
Halafu huyo aliyechuchumaa nae wa kiume si ndio
Hapo sijaelewa
When tunk runs out
Siku ya mtihani wa mathe alikuta swali limeuliza find x,,,yeye badala ya kufanya calculations akachora mshale kuonesha x ilipo...sasa baada ya miaka kadhaa ndiyo unamuona hapo anapiga plasta inamaana alifeli ule mtihaniHapo sijaelewa
Madam nani kakuambia u zoom?? Ulitakiwa u focus kwenye duaraHalafu huyo aliyechuchumaa nae wa kiume si ndio