[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunagharamika sana alafu bado tena ujitoe jasho jingi la nini. Wee piga vitatu vyako vya hamu inatosha. Akitaka kuridhika atapata tuu mmoja anayemridhisha kati ya sie aliyetupanga.
Thubutuu[emoji23][emoji23]Hata me nilikuwepo [emoji41]
Tukutane feb 14Na ss hatuna bae tunajibu wapi!?
Loooh[emoji23]Akili yangu baada ya kusoma katoa kichwa nje, ikawaza kichwa huwa hakitoki hadi kione mambo ya kuamsha kichwa....
Na kikishaamka kukilaza labda ubane na mkanda [emoji28], kama amevaa trakisuti kila saa kitakuwa kinagonga gonga kuangalia wapi kuna nafasi kitoke nje [emoji1787][emoji23]...
Akili za Kasie....
Loooh[emoji23]
Mbona anafanana na Barnanaba wa Bongofleva?
Subiri utakuja kuona hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uongo
Babu take huyoMbona anafanana na Barnanaba wa Bongofleva?
Aisee,kumbe.Babu take huyo
HaiwezekaniSubiri utakuja kuona hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kwa kumwangalia tu he is not mentally stable. Kuna kitu hakiko sawa!