Vituko mitandaoni. Tupia chako

Heri mimi nisiye na umaarufu [emoji3063][emoji3063]
Ujinga mtupu[emoji15][emoji15]
Wanamcheka sana. Mara mtoto. Mara umasikini...kazi kweli kweli. Inaonekana hata yeye hakuwa makini kwa sababu kuna kipindi alikuwa anavuma sana. Na wenzake akina Uwoya mbona bado wanatamba tu na bata za kufa mtu? Yeye alikosea wapi?
 
Makosa hayo ya uvulana wengi tumepita.

Ila hivi sasa eti uniambie twende Jolie, Concord, Keys Hotel, Ambiance, Masakuu, Le Grande!!
Hapana
 
[emoji16][emoji16][emoji16] mimi sio ubahili...unaweza kubahilia hela ambayo huna?
Unakosa hela wakati ni mzaliwa mkoa wa Njombe?
Unafeli wapi madam.
Fursa kibaaao[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtafute mshauri wa masuala ya Uchumi mkoani humo Dr Mwandulami jr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…