[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na kwa nin nikuache ilhali ndio kwaaanza naanza
[emoji16][emoji16][emoji16] nimegoma labda anko unishawishiMpaka hapo Anko wangu umegoma[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuuza risasi
Aliyemrubuni wema sepenga Mungu anamuona
Ndoa ya kwanza kuvunjika ilipaswa liwe funzo kwake. Tunapenda kuwashurutisha watu wafanye vile ambavyo sio kwmba hatuwez bali vimetushinda.Na ndio maana inabid kukaa nae chini aelezee upande hasi wa ndoa unaosababisha utengano na namna ya kukabiliana nao
Siielewagi hii picha wallah