Vituko mitandaoni. Tupia chako

Bora huyo wa mjini.
Maana huyo wa kijijini ingawa ana mali lakini anaishi maisha duni sana.
Tofauti yake na hawo wanyama anaowamiliki ni namna ya kutembea tu.
Mmiliki anatembea kwa miguu miwili, wanyama wake wanatembelea miguu 4.[emoji16][emoji16][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…